Msimbazi tunajipanga kwajili ya kukusanya vikombe vyote nchini na tukijiandaa kufanya vizuri katka mashindano makubwa Africa.

Wekundu wa msimbazi simba tumemsajili DUNCAN NYONI raia wa MALAWI amefanya vizuri kwenye clabu yake huko Nchini MALAWI na hata timu yake ya Taifa.

DUNCAN NYONI amesajiliwa wekundu wa msimbazi ili kuipigania clab na mafanikio yake kisoka.

#SIMBA NGUVU MOJA