Hatukuwahi kupata malalamiko kutoka kwa mashabiki wala uongozi wa clab yoyote uliyopitia na ulifanyika msaada popote ulipopita. 

Endelea kuwa balozi wa wana MSIMBAZI hongera kuwa sehem ya maisha ya waatanzania na asante kwa kazi ulioifanya ukiwa katka clab yetu.

#SIMBANGUVUMOJA