Kabati bado linadai tunakuja kuwaletea habari njema msimu ujao
Kabati letu linahitaji vikombe vingi sana msishangae tukatangaza ubingwa mapema kabisaa kabla ya mengine yote.

Tunawatakia kila lakheri wote mnaoshiriki ligi kuu Tanzania bara yaani #vpl maana baada ya msimu kuisha tulienda kujiandaa na kufanya maandalizi ya kujipanga na msimu 2021-2022 tukutane uwanjani.

#simbanguvumija