Mkurugenzi wa bodi ya simba akiwapongeza wasanii kubuni kitu kikubwa kwajili ya kuipambania clab yao. Na akawaahidi kushirikiananao ktk hali yoyote ili kufanikiwa ktk clab yao
#simbaday