Kocha mkuu wa simba sc akimzungumzia marehem na mzee wetu H. Poppe.
Anasema marehem alikuwa mtu wa karibu sana kwenye familia ya wekundu wa msimbazi simba tumeondokewa na mtu muhimu sana hivyo tumekipokea kifo cha mzee wetu kwa majonzi makubwa sana.hivyo tunaomba washabiki na wapenzi wa simba kuwa tuwe wavumilivu kwakuwa tumeondokewa na mpendwa wetu japo tulimpenda lakni mungu amempenda zaidi.
#simbanguvumoja