Muda sio mrefu tutaanza kusalimiana kwa jina la jamhuri ya muungano ili kazi iendelee....
Simba huwa tunajiamulia tu kufanya tutakalo maana uwezo tunao nguvu tunazo uwezo tunao hasa ukikutana na wafyatua fyuzi kama TADEO LWANGA tukutane uwanjani.
#simbanguvumoja