Tumepokea maombi mengi sana kutoka kwa mashabiki wa simba kuhusu jez mpya lakin uongozi wa clab ya simba pamoja na uongozi wameona kufwata kile mashabiki wanataka 
Jez mpya za simba zitapatikana maduka ya Vunja bei nchi nzima
#simbanguvumoja