Haya mzee wa kufungua mageti Amewaambia yeye Hana shaka na clab yake maana haikuwahi kumuangusha na hata akijaribu kufikia urahusi wa kuwaziba midomo hao vyura ili wasipige kelele mjini suruhu ni moja tu kupanga kikosi cha wasanii kicheze na upande wa pili..
#simbaday