Tumefika jijini Arusha salama tayari kwa kambi ili kuandaa kikosi chetu kwa msimu ujao na kwajili ya maandalizi ya Simba day #simbanguvumoja