Leo tumuelezee Ajib Migomba Amekuwa na wekundu wa msimbazi karibu misimu 3 sasa lakini wengi wamekuwa wakilalamika kwanini hawamuoni katika kikosi cha wekundu wa msimbazi'

Tunaweza kujiuliza kwanini hapangwi lakini hatuwezi kujua hesabu za mwalim lakin Ajibu tuponae na tutamwona kwenye Michezo ya ligi kuu na kimataifa kwa ujumla. 

#simbanguvumoja