kati ya mabeki wenye ukabaji wa kipekee ni pamoja na mwenda hewani pia anasifa nyingi zenye kumfanya azidi kung'aaa sana ktk soka lake mtiifu anacheza mpira kwa nidhamu ya hali ya juu sana