Tunapenda kuwajulisha mshabiki zetu kuwa mashabiki zetu wametangulia nchini Zambia kwajili ya mchezo wetu wa kimataifa tumejipanga kufanya vizuri na kuendelea kujiweka kwenye nafasi nzuri mashabiki wataungana na timu yao leo jioni