Simba ni clab ya kwanza wachezaji wake wakipendana tumeshuhudia kwa macho yetu hatukuwahi kusikia mizozo ndani ya clab zaidi ya upendo kwa wachezaji pamoja na bench la ufundi.

Tumekuwa tutukisikia kila mmoja wa wachezaji akimhamasisha mwenzie kwajili ya kupambana kwajili ya Masahiro ya clab hivyo tunakilasababu za kujivunia na kuwapa heshima wachezaji wetu

#simbanguvumoja