Enock Inonga kushoto Chris Mugallu kulia tunakuja tukiwa kamili baada ya kutwaa taji la Mapinduzi cap sasa tunaelekea mbeya kwajili ya Michezo ya ligi kuu ya NBC PREMIERE LEAGUE simba zidi ya mbeya city
Tupo tayari kutetea ubingwa na kulitwaa taji kwa mara 5 nyingine tena mfululizo tupo kamili...
#simbanguvumoja
0 Comments