Tunaweka mipango sawa ili kuchukuwa point tatu muhimu ili kuvuka hatua inzyofuuata ili tuzidi kuwakilisha nchi yetu na kuiweka clab yetu katika viwango vikubwa Africa.
Asanteni mashabiki wetu kutupa support kubwa kwa hatua tuliyo nayo mpaka sasa alisema msemaji wa simba..
#simbanguvumoja
0 Comments