Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu leo pamoja na protocol nimeshindwa kutoka nilipo ili kuwahi mchezo wa leo nimejisikia vibaya sana lakini kidhati kabisa naamini tutashinda na kurejea na kombe letu Dar.

Last week nilisema sisi kama simba hatuwezi kukubali kufungwa marambili na watani zetu na ninajua wachezaji wetu wana uwezo mkubwa na wenye kuamua chochote kwa hali yoyote ingawa natambua katka football lolote laweza tokea lakni naamini simba ni simba tu.

Nitaangalia hii mechi nikimtaja mungu tangu mwanzo mpaka mwisho wa mechi naamini tutashinda.

#SIMBA NGUVU MOJA