Asante kutupa pumzi tena...
Tunashukuru kutupa wakati tena....
Tutapambana kwa hali na mali ili kufikia tulichokusudia...
leo ni Mechi kubwa inayotazamwa na wengi ili kutazama kipi kitatokea tunamshukuru mungu kwasababu hatuna majeruhi hata mmoja.
Tunaamin mchezo utakuwa mzuri na wenye kuvutia kwasababu tumejipanga na tuko tayari kwa mchezo
mpaka sasa hali ya mchezo utakao pigwa hapa kigoma unamaandalizi makubwa na kilakitu kipo tayari.
#SIMBA NGUVU MOJA
0 Comments