Taarifa kwa uuma Klabu ya simba imemteua Ndugu Ezekiel kamwaga kuwa kaimu mkuu Idara ya habari na mawasiliano kwa kipindi cha miezi 2