Kilakitu kina faida zake. leo hii mchezaji mahiri Maarufu kama BM3 #BENARD MORRISON amechukuwa tuzo ya mchezaiji bora wa mashabiki yenye thamani ya milioni moja ya kitanzania.

#SIMBA NGUVU MOJA.