Habari ndugu zetu wapenzi wa na mashabiki wa CLUB ya SIMBA SPORTS CLUB. Kumekuwa na habari zinazo sambaa mitandao ya kijamii kumhusu kocha msaidizi wa SIMBA SPORTS CLUB namzungumzia SULEMAN MATOLA.

Ikumbukwe kocha huyu hakuonekana kabisa kwenye mechi ya mwisho ya #VPL iliyowakutanisha NAMUNGO FC Vs SIMBA SC mchezo uliochezwa katika uwanja wa  MKAPA STADIUM  Jijini Dar es salaam.

Kumekuwa na habari zisizo kuwa za kweli kwamba ameagana na clubu ya wekundu wa msimbazi yaani SIMBA SC lakini tunakanusha habari hizo kwamba kocha huyo yupo Mkoani morogoro katika mafunzo ya ukocha kwa ngazi ya Diploma B

Kwasasa anayefundisha club Bingwa na shirikisho ni lazima awe lesenu A kocha msaidizi lazima awe na Angalau lesen B

SIMBA NGUVU MOJA