Ukisikia burudani hapa ndio mahala pake.
Leo ilikiwa ni siku ya kupambania tulicho kihitaji tunafurahi kwasababu kabati linazidi kujaaa #NDOO
kwa maranyingine tena tumechukuwa ubingwa wa #ASFC kwa sababu uwezo tunao na tutazidi kuchukuwa kwa mara nyingine kwa uweza wa Mwenyezi MUNGU.
Tume twa ubingwa wa #VPL mara nne mfululizo na tunajipanga kwa msimu 2021-2022 ili kuendelea kulinda heshima yetu.
Tunaomba Support kubwa kwa mashabiki wetu kuelekea msimu ujao tunaahidi kufanya vizuri na kuleta ubingwa tena ili kuleta heshima na kuendelea kupepeza bendera kimataifa.
#SIMBA NGUVU MOJA
0 Comments