Kikosi kimerudi salama asante sana #AISHI MANULA  kwa ushirikiano wako pamoja na wachezaji wote kulinda heshima na ukubwa wa SIMBA SPORT CLUB  bila kusahau Benchi la ufundi pamoja na uongozi mzima wa SIMBA  

#SIMBA NGUVU MOJA