ALIZUNGUMZA HAYA BAADA YA MAHIJIANO.
Alisema Air Manula. Ninayo furaha kubwa kutwaa ubingwa kwa mara ya nne mfululizo nikiitumikia CLUB yangu SIMBA SPORT CLUB sikwamba nilikuwa bora kuliko wenzangu bali tulishirikiana na wenzangu ili kulinda heshima ya CLUB yangu.
Nawashukuru mashabiki na wenye mapenzi ya kweli kuipa hamasa timuyao na hatimae kuchukuwa ubingwa kwa ushindi mkubwa. Lakini pia siachi kuwashukuru uongizi mzima wa SIMBA SPORT CLUB kwa hatua kubwa na juhudi wanazozionyesha kwetu sisi kama wachezaji yumefarijika sana.
Alisema Air Manula.
NGUVU MOJA.
SIMBA SPORT CLUB
0 Comments