#TETESI 


Sisi kama simba tunatamka hatuna mpango wa kuwaongezea mikataba IBRAHIM AJIBU MIGOMBA & MIRAJH ATHUMAN SHEVA Tunashukuru kwa huduma iliyotufaaa kwa kipindi tulichokuwanao maana tumeona mchango wao mkubwa katika CLUB YA SIMBA.
Zaidi tutaendwlea kukujulisha usikae mbali nasi.
NGUVU MOJA.
SIMBA SPORT CLUB.