SIMBA ni Club kubwa Tanzania na Africa kwa ujumla tumekuwa tukiiwakilisha nchi yetu kitaifa na kimataifa. Tumeshiriki CLUB Bingwa kwa matumaini makubwa lakini tukaishia mahali ambapo ni matumaini makubwa kwa watanzania na wapenzi wa Club ya SIMBA.

Tunashukuru Mashabiki kwa kutupa support kubwa ambayo inafanya bench la ufundi pamoja na wachezaji kutupa morali ya kufanya vizuri zaidi. Tumetimiza Kile tulichokitaka kutwaa taji la #VPL kwa ushindi mkubwa na point za ujazo wenye kishindo kikubwa.

Tunawaahidi kwa kufanya vizuri mashindano makubwa yaliyo mbele yetu na bila kusahau KIKOMBE kijacho