Kuna watu na viatu manara ni Mtu kati ya watu tunashukuru kwa kuendelea kutuhamasisha na kutupa mwanga endelevu kama angelikuwa mwingine angetoa matusi na kutamka anavyo taka.
#simba nguvu moja