Sisi ni simba hatukuwahi kujiuliza wala kupambana na asiye jua kupambana. kifupi tutaanzia pale tulipoishia maana tunapajua wala hatuna kujiuliza.
Ngao ya jamii tunayo mkononi na tutaendelea kubakinayo mkononi sasa basi tupo kwenye usajili na hatuna papala ya kuanza kujihangaisha usajili ukikamilika basi utaona kwenye kurasa zetu nani ni nani.
#SIMBA NGUVU MOJA.
0 Comments