Msanii wa music wa Bongo Fleva NASIBU ABDUL maarufu kama Diamondplutnumz ameandika ktk ukurasa wake kuhusu kutoweka kwa Msemaji wa clab ya Simba. HAJI MANARA.

Nimeumizwa na kutoweka kwa Haji manara maana alitoa ushawishi mkubwa sana ktk clab ya simba kuanzia nchini kwake na nje ya nchi.

Nukuu::
Inshallah sikumoja urejee kuwa  moja ya familia tena .

#SIMBA NGUVU MOJA