Aliye kuwa msemaji wa clab ya simba HAJI MANARA leo jumatano saa 5:00 Asubuhi atakuwa na mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.

Lengo la mkutano huo ni kuwashukuru SIMBA SC kwa kufanyanao kazi kwa kipindi chote na kutoa heshima kwa heshima waliyo mpa ktk kipindi chote alicho watumikia mabingwa hawa.

Mkutano huo utakuwa LIVE kwenye station kubwa  na ndogo ili kufanikisha zoez hili.

#SIMBA NGUVU MOJA