Furaha ya wanasimba haitoisha kwa sabau umepata club mpya wewe kwetu ni dhahabu na umeitumikia clab kwa namna yoyote mpaka kufikia hapa ulipo sasa na clab nyingine zikakuona unafaa kuwatumikia sisi kama simba tulikubali huduma yako na wengine wameipenda.
CHAMA JR ni mchezaji aliye fanya makubwa kwenye clab yetu na na hata zingine alizowahi kuzipitia kabla ya kujiunga na clab ya wekundu wa msimbazi.
Kiungo huyu mahiri anajiunga na clab nyingine huko Morocco tukutakie maisha mema huko uendako.
#SIMBA NGUVU MOJA
1 Comments
Mpo vizuri sanaaaa
ReplyDelete