Leo ni siku ya furaha kwetu kama clab tumesain mkataba na Shirika la ndege Tanania Air Tanania kutupa ushirikiano wa timu yetu kusafiri popote watakapo kwenda.
#Simbaday