Leo wekundu wa msimbazi kwa kushirikiana na @moodewjifoundation tumewatembelea watoto yatima wenye mazingira magumu hapa jijini dar es salam maeneo ya Magomeni mikumi pichani ni furaha ya kutuona wanasimba  tukiwatembelea.
#simbaday