Tunapoendelea kujinoa angalia usiwe mtazamaji bali endelea kujipanga jinsi ya kukabiliana na mikuki ya hawa viumbe ni siku ya 5 leo tangu kufika jijini Arusha na tumeendelea na mazoezi wote tupo tayari kwa mapambano.
Asante kwa wote mnaoendelea kuipa support timu yenu na tunawaahidi kuwaletea mambo makubwa kwenye VPL 2021-2022
#SIMBANGUVUMOJA