Tuna ugeni mkubwa kutokea nchini DR CONGO ni mabingwa wa kihistoria huko nchini kwao kama tulivyosema hapo awali mabingwa ndio tutakaochezanao na wenye uwezo mkubwa.  
#simbanguvumoja