Tupo hapa kwajili ya kuijenga clab yetu hatushindani na watu bali wakihitaji kushindana tutaleta ushindani. Na popote ulipo shabiki wa clab ya simba kaaukijua sisi tupo kwajili ya kujenga msishindanenao.
Tumepata neno kwa mdhamini wa kutuandalia jezi kali na zenye kuitangaza nchi ametuahidi kutuletea vitu vikali na vyenye kutufanya tuifurahia timu yetu.
#simbanguvumoja
0 Comments