Simba ni  clab yenye hamasa kimtazamo hata ki fikra yakinifu kuna muda sisi kama 8osimba tunafikiri huu uwingi wa watu tutaulipa nini zaidi ya kuwapa matokeo mazuri ili kuendelea kufurahi na clab yao.September 19 tufike uwanjani kama kawaida yetu ili kuendelea kufanya siku yetu kuwa kubwa Africa na ktk nchi yetu kwa ujumla.

Niwaombe tu mashabiki na wapenzi wa clab ya simba kuipa support clab ya wekundu wa msimbazi ni ishara kwamba mnaipenda timu yenu na kuifanya ifike mbali.

#simbanguvumoja