Mchezaji wa timu ya Taifa Zambia Rainford Kalaba nimiongoni mwa wachezaji wanaosafiri na timu ya Tpmazembe ya congo
Kikosi hicho kitawasili nchini Tanzania September 18 kwajili ya kushiriki mchezo wa kirafiki kati ya simba na Tp mazembe katika siku ya simba day september 19.
0 Comments