Wasanii waiunga clab yao kuipa support kuelekea #simbaday #september19 kauli ya saimon mwakifwamba kuhusu simba simba ni clab kubwa hatuendi kuwakilisha bali tunaenda kushindana.
Tunasikitika kwamba ndugu zetu wapo kwenye kipindi kigumu sana kwahiyo tutawapa faraja sana ifikapo tarehe 25 alisema mwakifamba.
#One team #One dream
0 Comments