Tunarudia tena hatuna mfano wa jezi kama hizi hapa ni udanganyifu mtupu maana hatuna mahali tumetangaza wala kuweka hadharani jezi zetu mpya kuweni makini na mitandao ya kijamiii.
Hizi habari sio za kweli tuzipuuze na wanaozidi kutoa habari kama hizi watashughulikiwa maana idhini tunayo kuwafanya chochote
#simbanguvumoja
0 Comments