Wekundu wa Msimbazi SIMBA tumetangaza kurejea kambini kwa wachezaji ambao hawakuitwa na timu za taifa kurejea kambini ili kuendelea na mazoezi ya kuendelea kujinoa na msimu ujao.Kuanzia jumamosi wote wariport kambini ili kuendelea kujinoa na kupasha misuli kama wenzetu walivyo ktk timu ya taifa.
#simbanguvumoja
0 Comments