Hawa ndio mashabiki waliotuamini wamewahi mapema ili kuona kipi kinajiri uwanja wa Aman nikukumbushe tu kuwa tumekuja kupambana ili turudi na ndoo yetu.

#simbanguvumoja