Leo ikiwa ni kilele cha fainali za mapinduzi cap Kati ya simbasc vs Azam FC zimeandaliwa vizuri na zipo mwishoni kabisa na yamebakia masaaa machache tu ili kipute hicho kupigwa..
Kama unayoona Tambo za mashabiki zimepamba moto na watu wapo tayari kwa mapambano. nikufahamishe tu kuwa kuliwahi kutokea burudani na historia Kibao katika fainali hizi wewe unakumbuka wapi?
0 Comments