Mafahari wawili katika zizi moja na bado wanaelewana ikiwa kihistoria haiwezekani mafahari wawili hawakai zizi moja.

Chama ambaye ni mwamba wa Lusaka Amekuwa Mchezaji mwenye historia kubwa ktk klab ya simba alifanya makubwa kwenye misimu  mwili iliyopita kabla ya kutimkia Morocco na sasa amerudi tena hapa msimbazi..

Sakho ni Mchezaji fundi mwenye weledi mkubwa na mwenye kufanya clab yake kupata matokeo mazuri sasa basi ngoja tuone kipi kitatokea mwaka huu..

#simbanguvumoja