Tukijipanga na Michezo ya NBC PREMIERE LEAGUE na kombe la shirikisho mwalim amekiandaa kikosi vizuri na wachezaji wana morali ya kutosha. 

Tutawakosa wachezaji 2 ambaye ni JONAS MKUDE na DENIS KIBU tupo tayari kwa mapambano ili kulitwaa kombe LA NBC PREMIERE LEAGUE 
#simbanguvumoja