Kocha mkuu Pabro Franco anaomba kuwa wavumilivu tuwe na subra ili kuyafikia yaliyo mazuri na kuendelea kifurahia zaidi na zaidi

Amesema kikosi kilijiandaa salama kupambana kwenye MECHI yetu dhidi ya watani wetu wa jadi yanga lakini tulitoka sare ya bila kufungana ni jambo la kumshukuru mungu... 

Sasa nguvu zetu tunazielekeza kwenye mchezo unaofwata dhidi ya Namungo Fc huko Mtwara 

#simbanguvumoja