kikosi kimefia salama Mkoani Mtwara kwenda kuwavaa Namungo Fc kwenye uwanja wa ilulu mkoani lindi tunaamini mashabiki wetu kuliko chochote na hatuishi kusema tunawapenda na tunawathamini

Tunawaahidi kufanya zaidi ya tuwezavyo na kuleta mnachostahili wachezaji wetu wapo tayari kupambanq na tunaimani nao na hatukati tamaa wote kwa pamoja  tuseme..... 

#simbanguvumoja