#SIMBA NGUVU MOJA.
Alisema. #MOHAMMED DEWJI.
Sina shida ya pesa mpaka kufikia kumuuza nyota #LUIS MIQUESON. Miqueson hauzwi nia yangu ni kuitengeneza simba yenye nguvu Africa.
NB. Mbona #AL AHLY hawauzi wachezaji bali wananunua Ulaya pia Clab ya simba inatakiwa iwe hivyo ili iwe na nguvu.
#SIMBA NGUVU MOJA
0 Comments