Tunaomba radhi kwa yaliyo tokea Mashabiki na wapenzi wa SIMBA SC  Kupishana ni sehem ya maisha na baada ya hapo maisha yanaendelea #HAJI SUNDAY MANARA  Alizungumza haya baada ya kukutana na chombi cha club ya simba
 
☆HAJI SUNDAY MANARA.
Nimekuwa nikifedheheshwa na Babrah kila wakati lakini sipo kuyazungumzia hayo kwasasa maana nimetoa taarifa kwa uuma kama mlivyo sikia na kuyatoa hayo ni moja ya kupunguza sumu ndani ya mwili wangu.

Japo nilivumilia kwa kipindi kirefu na kukaa nayo nimeamua kufanya hivyo kwasababu nilifedheheshwa na kauli yake ya mwisho kunifukuza kazi kwasababu zisizo za kweli akidai nilikwenda katika (club ya yanga kigamoni). kitu ambacho hakina ukweli ndani yakeo.

●HAJI SUNDAY MANARA.
Sina muda wa kupoteza kuzunguka kwenda club ya yanga ninamambo makubwa na club yangu ya SIMBA Kwasababu nimeshasema kwa uuma na mhusika amesikia.
#kazi iendelee.....

☆Babra.
Nimemsikia #HAJI SUNDAY MANARA Kwasasa ninautazama mchezo ulio mbele yetu.

#SIMBA NGUVU MOJA