Mchezo huu ndio utakaoamua nani bingwa. tumejipanga vizuri na hatuna majeruhi hata mmoja tupo tayari kuwavaa wapinzani kwa uhakika na ushindi mkubwa wenye kishindo kikubwa tunaomba support yenu kubwa ili kufanikisha mchezo huu muhimu.
Ikumbukwe hatukupata matokeo mazuri kwenye mchezo wetu wa mwisho dhidi ya wapinzani wetu SIMBA SC VS YANGA SC tulifungwa goli moja lililofungwa na mshambuliaji wao ZAWAD MAUYA licha ya matokeo hayo haitupi preasure kwasababu ilikuwa ndani ya mchezo na mchezo unamatokeo tofauti tunakiri tulifungwa na nimoja ya mchezo
Tunawaahidi kufanya vizuri na kupata matokeo mazuri ktk mchezo huuu
#SIMBA NGUVU MOJA
0 Comments