Hi ndio list ya waliobeba ubingwa tangu kuanzishwa kwa Kinyang'anyiro cha kikombe hicho. SIMBA SC nimechukuwa misimu mitatu(3)
Tangu kuanzishwa kwa michuano hiyo mnamo mwaka 2015-2016 walichukuwa YANGA SC kwa msimu wa kwanza kabisa na hawakuweza kuchukuwa tena.
2016-2017 SIMBA SC walichukuwa ubingwa wakiwanyang'anya kikombe hicho YANGA SC kwa msimu wa pili na yanga wakakubali.
2017-2018 MTIBWA SUKARI walichukuwa kikombe hicho kwa msimu wa tatu wakiwanyang'anya SIMBA SC
2018-2019 AZAM FOOTBALL CLUB Waliwanyang'anya SIMBA SC kwa mara ya kwanza kabisa na hawakuchukuwa tena.
2019-2020 SIMBA SC waliwanyang'anya AZAM FC na SIMBA SC wakatawazwa mabingwa kwa msimu huo.
2020-2021 SIMBA SC walitawazwa kuwa mabingwa kwa misimu mitatu mfululizo na bado wameshikilia taji hilo kwa kishindo na nguvu kubwa.
#SIMBA NGUVU MOJA
0 Comments